The content presented here requires JavaScript to be enabled and the latest version of the Macromedia Flash Player. If you are you using a browser with JavaScript disabled please enable it now. Otherwise, please update your version of the free Flash Player by downloading here.

jojosssfashions ni wasambazaji wa perfumrs na make up kutoka Fm Perfums UK, tunauza perfums kwa order kwa iyo kama unahitaji wasiliana nasi kwa njia ya sim 0762854444 or email ili utupe order zako, kwa kuchagua perfums au make up ambayo utapenda, download catalogue kwa bonyeza link hii ujionee mambo mazuri mazuri http://www.fmgroupireland.ie/download.html

Friday, January 7, 2011

REBECCA BUDIG AMECHUMBIWA NA MIKE BENSON

Muigizaji wa kike Rebecca Budig, ambaye hivi karibuni tu alishinda mashindano ya "Skating with the Star" amechumbiwa na mwandishi na producer Mike Benson, Rebecca Budig hapo mwanzo aliwahi kuolewa na star Bob Guiney,  Rebecca mwenye umri wa miaka 37 amekutana na Mike kipindi kifupi tu baada ya kutwangwa talaka yake kutoka Guiney January 2010

No comments:

Post a Comment