The content presented here requires JavaScript to be enabled and the latest version of the Macromedia Flash Player. If you are you using a browser with JavaScript disabled please enable it now. Otherwise, please update your version of the free Flash Player by downloading here.

jojosssfashions ni wasambazaji wa perfumrs na make up kutoka Fm Perfums UK, tunauza perfums kwa order kwa iyo kama unahitaji wasiliana nasi kwa njia ya sim 0762854444 or email ili utupe order zako, kwa kuchagua perfums au make up ambayo utapenda, download catalogue kwa bonyeza link hii ujionee mambo mazuri mazuri http://www.fmgroupireland.ie/download.html

Friday, January 7, 2011

CELINE DION AKATAA KUAJIRI MFANYAKAZI WA KUMSAIDIA KULEA MAPACHA WAKE!!!!!!!!!!

Mwanamziki machachari mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni na kumuamsha kutoka usingizini alolala amekataa kumkodi mfanyakazi wa ndani wa kumsaidia kuwalea watoto wake wadogo mapacha amesema kwamba anataka kuwalea yeye mwenyewe watoto wake Nelson na Eddy ambao amewazaa mwezi October anasema amechoka lakini hataki msaada wowote juu ya kuwalea watoto, Celion Dion ameliambia gazeti la French magazen Gala kwamba " sijazaa hawa watoto kisha wanishinde kuwalea nataka niwe nao karibu kwa asilimia 200- 300 ili nipate kuwabadilisha nepi na kuwanyonyesha mwenyewa huoni iyo ni furaha iliyoje" pamoja na hayo lakini iyo ni siri yangu pale panapokuja suala la kuwanyonyesha wote wawili inakuwa ngumu mana mara huyu kacheuka huyu anataka kutolewa mbwewe, lakini hata hivyo mama yake Celine Dion na dada yake wako wanamsaidia kupika na kusafisha nyumba

No comments:

Post a Comment