The content presented here requires JavaScript to be enabled and the latest version of the Macromedia Flash Player. If you are you using a browser with JavaScript disabled please enable it now. Otherwise, please update your version of the free Flash Player by downloading here.

jojosssfashions ni wasambazaji wa perfumrs na make up kutoka Fm Perfums UK, tunauza perfums kwa order kwa iyo kama unahitaji wasiliana nasi kwa njia ya sim 0762854444 or email ili utupe order zako, kwa kuchagua perfums au make up ambayo utapenda, download catalogue kwa bonyeza link hii ujionee mambo mazuri mazuri http://www.fmgroupireland.ie/download.html

Wednesday, January 5, 2011

CHEKA UNENEPE LAKINI TAHADHARI NA MBAVU ZAKO

Darling me nafanya mazoezi kidogo nje hapa siunajua tena mwili umevunda toka asubuhi nimelala tu!!!! kama vipi acha ninyooshe viungo kidogo

ooooooohhhhhhh maskini mume wangu nisaidieni jamani mume wangu anajitupa!!!!! lakini jamaa anawambia apo tulizeni ball nanyoosha viungo tu.

Kwa wale mabondia mnaona mazoezi hayo some time lazma ubadilishe mazingira sometime sio kila siku gym ndani tu sikumojamoja sio mbaya kufanyia kwenye mapaa kama ivo, duhhhh!! lazma hamna atakaekushinda ushindi lazma uwe wako siku zote.

Mie wajapan na wachina nawapendea hapa tu apo anaweza ata akamaliza masaa kibao kawabeba akina chingchong

Hasheem thabit upo apooo???? mikoba iyoooo nakupa uscheke lakini!!!!!!! ukiiweza iyo bas aaaahh mambo yanakuwa mwake mwao ukitaka kuingiza mpira bas inakuwa very easy, au me nadhani kama vipi bongo natuanze tu mazoezi haya au mdau we unasemaje?????????

Mambo huanza tokea utotoni ili kulainisha viungo hakuna kulala

Mamaake we mlee kwichunnnn!!!! mie shingo inaniuma acha niifanyie dawa kidogo kama masaa 3 au  4 labda nikimaliza maumivu yatapungua kidogo

Haya kwa wale wanotakakujua mazoezi ya pumzi wasanii na watu wengine mikoba iyo chukua ukifanya kwa siku ata kama masaa yako kadhaa bas ngoma inakuwa mswano!!!! kuwa muangalifu lakini mana hawa jamaa wao mwisho bana, au nyie wadau mnasemaje na hawa jamaa mana kwao wao kila kitu kipo na kila kitu wanafanya .

Mume wangu tafadhali hem toka kidogo ninyooshe mikono maana ata kudrive nimechoka!!!!!! ha ha ha ha

Mwanangu furahia happy new year wakati wako huu na mimi  baba ako acha nipate upepo juu kidogo

Hem natupate picha ya pamoja ya kumbukumbu!!!  haya kila mtu smiiiiiile!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

1 comment:

  1. Daahhh ibwana hawa jamaa kweli wako serious simchezo inachekesha sana, jojosss huwa napenda sana kutembelea blog yako ni nzuri sana unajitahidi, mdau malaysia

    ReplyDelete