Darling me nafanya mazoezi kidogo nje hapa siunajua tena mwili umevunda toka asubuhi nimelala tu!!!! kama vipi acha ninyooshe viungo kidogo |
ooooooohhhhhhh maskini mume wangu nisaidieni jamani mume wangu anajitupa!!!!! lakini jamaa anawambia apo tulizeni ball nanyoosha viungo tu. |
Mie wajapan na wachina nawapendea hapa tu apo anaweza ata akamaliza masaa kibao kawabeba akina chingchong |
Mambo huanza tokea utotoni ili kulainisha viungo hakuna kulala |
Mamaake we mlee kwichunnnn!!!! mie shingo inaniuma acha niifanyie dawa kidogo kama masaa 3 au 4 labda nikimaliza maumivu yatapungua kidogo |
Mume wangu tafadhali hem toka kidogo ninyooshe mikono maana ata kudrive nimechoka!!!!!! ha ha ha ha |
Mwanangu furahia happy new year wakati wako huu na mimi baba ako acha nipate upepo juu kidogo |
Hem natupate picha ya pamoja ya kumbukumbu!!! haya kila mtu smiiiiiile!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! |
Daahhh ibwana hawa jamaa kweli wako serious simchezo inachekesha sana, jojosss huwa napenda sana kutembelea blog yako ni nzuri sana unajitahidi, mdau malaysia
ReplyDelete