The content presented here requires JavaScript to be enabled and the latest version of the Macromedia Flash Player. If you are you using a browser with JavaScript disabled please enable it now. Otherwise, please update your version of the free Flash Player by downloading here.

jojosssfashions ni wasambazaji wa perfumrs na make up kutoka Fm Perfums UK, tunauza perfums kwa order kwa iyo kama unahitaji wasiliana nasi kwa njia ya sim 0762854444 or email ili utupe order zako, kwa kuchagua perfums au make up ambayo utapenda, download catalogue kwa bonyeza link hii ujionee mambo mazuri mazuri http://www.fmgroupireland.ie/download.html

Thursday, January 6, 2011

WILLIAMS JAMAA ALOLALA MASKINI NA KUAMKA UTAJIRI UNAMNYEMELEA!!!!!!!!

Williams aliwahi kuoa na Mungu amempa rizki ya watoto watano kabla ya kujishirikisha na madawa haram, alikuwa mvuta unga mzuri tu na mwizi wa kupindukia polisi ukiwaonesha picha yake tu bas watakupa details zake zote mana kwao wao ni mtu wa karibu kwa kuwa kila kukicha wanamkamata kwa makosa aina mbalimbali, na alikuwa ombaomba mzuri kwenye miji yao, huyu jamaa kutokana na shuhuli zake haramu alokuwa akizifanya za wizi na uvutaji maunga zilimpelekea asionane na mama yake mzazi kwa muda wa miaka 10 bila hata mawasiliano, lakini bwana Mungu akikuandikia rizki yako bwana kamwe hakuna atakaeibadilisha jamaa baada ya kukabiliana na maisha magumu yote yanyuma yalopita kiukweli huyu jamaa anasauti tamu sana ya utangazaji ambayo at the end jamaa hazina sauti yake imempelekea kuja kuwa "Millionare" mtarajiwa baada ya kujulikana kipaji chake  kwenye vyombo  vya habari, mashirika mengi ya habari yamekuwa yakimtaka kumpa offers za kazi baada ya kuonekana pindi alipochukuliwa video wakati akiwa yupo kwenye shughuli zake za ombaomba jamaa ana sauti ya kumtoa nyoka pangoni akiwa anatangaza kwenye redio,hata kama hatangazi basi ukimsikiliza akiongea tu utapenda,lakini ndo ivo tena atulize akili asirudi kwenye ayo mashaka yake.,

Hapa Williams akiwa katika moja za interview zake lakini hapa katoka kidogo kupasha matumbo moto!!! muangalie chini apo kwenye video hiyo akiwa katika moja za interview zake katika Todayshow, Mungu akitaka kukupa kweli hakuandikii barua!!!

2 comments:

  1. Kamwe Mungu hamtupi mja wake!!!!!!!!! God is good!!!!!!!

    ReplyDelete