The content presented here requires JavaScript to be enabled and the latest version of the Macromedia Flash Player. If you are you using a browser with JavaScript disabled please enable it now. Otherwise, please update your version of the free Flash Player by downloading here.

jojosssfashions ni wasambazaji wa perfumrs na make up kutoka Fm Perfums UK, tunauza perfums kwa order kwa iyo kama unahitaji wasiliana nasi kwa njia ya sim 0762854444 or email ili utupe order zako, kwa kuchagua perfums au make up ambayo utapenda, download catalogue kwa bonyeza link hii ujionee mambo mazuri mazuri http://www.fmgroupireland.ie/download.html

Monday, January 10, 2011

AMPIGA BIBI YAKE ALOMZALIA MAMA YAKE MPAKA AMTOA ROHO (US)

Kijana alojiona mwenye maguvu kuliko watu wote amepokea kifungo swafi kabisa huko US kwa kumpiga bibi yake kipenzi alomzalia mama yake hadi kumuuwa, Ted Cornell Lockett mwenye umri wa miaka 21 hapo awali alikuwa akiishi na bibi yake huyo katika  nyumba za Apache Trail,kwa mujibu wa taarifa za police zinasema kwamba Lockett alirejea nyumbani anapoishi mapema siku ya jumapili asubuhi akavunja dirisha kisha akaanza kumkunja  na kumtukana bibiake ambaye alikuwa amepumzika ukumbini huku akimpigiza kichwa chake na chini kisha akimpigiza kichwa chake na meza ya kigae, jamaa huyo baada ya kumpiga bibi yake ivo vote akaona haikutosha akampigia sim na mama yake mzazi Sondra Lockett ilikuwa ni majira ya saa 2 a.m na kumwambia kuwa nimemuuwa bibi na sasa nakusubiria wewe, kutokana na taarifa ya police inasema kwamba baada ya hapo akarudi zake ndani akachukua microwave oven na kuendelea kummaliza bibi yake kwa kumpiga nalo, wakati police wanawasili katika eneo la tukio Lockett alijisalimisha mwenyewe, yule bibi yake alifariki kutokana na majeraha aliyoyapata 5.am jumapili iyoiyo, Lockett  aliwahi kutibiwa behavioral health facility kipindi cha nyuma lakini hakuwa na magonjwa ya akili kwa iyo amepewa kesi ya mauwaji na udhalilishaji, ujambazi na kufanya vitisho vya mauwaji, kwa kweli inaskitisha sana vijana kama hawa ndo wanastahili kusimama mstari wa mbele kuwasidia wazee leo ndo wanageuka wanawauliya mbali, nyie wadau mnamaoni gani kuhusiana na hili!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment