The content presented here requires JavaScript to be enabled and the latest version of the Macromedia Flash Player. If you are you using a browser with JavaScript disabled please enable it now. Otherwise, please update your version of the free Flash Player by downloading here.

jojosssfashions ni wasambazaji wa perfumrs na make up kutoka Fm Perfums UK, tunauza perfums kwa order kwa iyo kama unahitaji wasiliana nasi kwa njia ya sim 0762854444 or email ili utupe order zako, kwa kuchagua perfums au make up ambayo utapenda, download catalogue kwa bonyeza link hii ujionee mambo mazuri mazuri http://www.fmgroupireland.ie/download.html

Sunday, January 9, 2011

ALIYEKUWA MCHUMBA WA MP LEMBIT OPIK AKAMATWA AKIIBA KIOSHA KOO SUPERMARKET (UK)


Mwanamziki anayeishi (Uk) mwenye asili ya Romania,   Gabriela Irimia ambaye mwanzo alichumbiwa na MP Lembit Opik wa Uingereza amewekwa chini ya ulinzi baada ya kukamatwa akifanya uhalifu katika supermarket iliyoko katika mji wa Cheshire, mwanadada huyo alikamatwa wakatika akifanya uhalifu huo wa boracho a.k.a(groceries) ambao unasemekana ulikuwa na gharama ya paund 40 kutoka katika supermarket ya Sainsbur'y iliyoko Wilmslow ( Cheshire), bidada huyo mwenye umri wa miaka 26 kutoka Essex alichukuliwa kituo cha polis kilokuwa karibu na hapo kwa mahojiano zaidi, Gabriela alichumbiwa na bwana Opic mwaka 2008 lakini baada ya kipindi kifupi tu ulivunjika uhusiano wao, Uingereza wizi kama huu umeshamiri kwa asilimia kubwa wa wizi wa madukani ukiwa kwenye matreni, mabasi, mitaani,ukijisahau tu mara unalizwa!!!!!!!

No comments:

Post a Comment