The content presented here requires JavaScript to be enabled and the latest version of the Macromedia Flash Player. If you are you using a browser with JavaScript disabled please enable it now. Otherwise, please update your version of the free Flash Player by downloading here.

jojosssfashions ni wasambazaji wa perfumrs na make up kutoka Fm Perfums UK, tunauza perfums kwa order kwa iyo kama unahitaji wasiliana nasi kwa njia ya sim 0762854444 or email ili utupe order zako, kwa kuchagua perfums au make up ambayo utapenda, download catalogue kwa bonyeza link hii ujionee mambo mazuri mazuri http://www.fmgroupireland.ie/download.html

Friday, December 31, 2010

SHEREHE ZA MWAKA MPYA 2011 SEHEM TAFAUTI DUNIANI

Mambo ya mwaka mpya kila mmoja anasherehekea kivyake  kama unavyoona hapa Hong Kong's Times square hivi ndivo walivoukaribisha mwaka mpya wa 2011 kwa furaha kabisa

Wanafunzi wakiwa wamejipanga kwenye stail ya aina yake kuukariribisha mwaka mpya nje ya school yao iliyoko kazkazini mwa india katika mji wa Ahmedabad duhh!! inapendeza sana

Kwa upande wa Sydney mambo yalikuwa hivi mataa kila upande na firework ziliipendezesha  Australia

Firework zikifanya mambo yake hapa katika daraja la bandari ya Sydney na nyumba ya opera wakati walipokuwa wakiusherehekea mwaka mpya wa 2011, mamlaka ya sydney walifanya mataarisho kwa watu watakaozidi 1.5 million kuja kuizunguka bandari ya sydney kushereheka kwa kuukaribisha mwaka mpya na kama ilivyopangwa watu wamemiminika kinomaaaaaa.

Hapa jamaa ndo waliponiacha hoi mana wako kundi kubwa wakiogelea kwa furaha kuukaribisha mwaka mpya lakini ayo maji wanayoyaogea ni yabaridi kinoma ukijisahau bas ukitoka una nimonia kutokana na hali ya hewa katika mji wa Tarragona, northeastern Spain.

Jamaa hapa akikata nywele kwa design ya kuukaribisha mwaka mpya

Ebwana na Kuala Lumpur mambo yalikuwa kama unavoona hapo swafiiii !!!!!!!  blog ya jojosssfashions.com inawatakia nyote kheri ya mwaka mpya na tunamshukuru Mungu muweza wa yote kutufikisha huu mwaka na kuuona, tunaomba atufikishe tuione na iyo ya mbele inayokuja tukiwa hai na wazima wa afya ameeeeeeeeeeeen.



1 comment:

  1. nimependa design iyo,2011 ya 20020 itakuwaje????????

    ReplyDelete