![]() |
| Mambo ya mwaka mpya kila mmoja anasherehekea kivyake kama unavyoona hapa Hong Kong's Times square hivi ndivo walivoukaribisha mwaka mpya wa 2011 kwa furaha kabisa |
![]() |
| Wanafunzi wakiwa wamejipanga kwenye stail ya aina yake kuukariribisha mwaka mpya nje ya school yao iliyoko kazkazini mwa india katika mji wa Ahmedabad duhh!! inapendeza sana |
![]() |
| Kwa upande wa Sydney mambo yalikuwa hivi mataa kila upande na firework ziliipendezesha Australia |
![]() |
| Jamaa hapa akikata nywele kwa design ya kuukaribisha mwaka mpya |








nimependa design iyo,2011 ya 20020 itakuwaje????????
ReplyDelete