The content presented here requires JavaScript to be enabled and the latest version of the Macromedia Flash Player. If you are you using a browser with JavaScript disabled please enable it now. Otherwise, please update your version of the free Flash Player by downloading here.

jojosssfashions ni wasambazaji wa perfumrs na make up kutoka Fm Perfums UK, tunauza perfums kwa order kwa iyo kama unahitaji wasiliana nasi kwa njia ya sim 0762854444 or email ili utupe order zako, kwa kuchagua perfums au make up ambayo utapenda, download catalogue kwa bonyeza link hii ujionee mambo mazuri mazuri http://www.fmgroupireland.ie/download.html

Wednesday, September 22, 2010

WHYCLEF JEAN'S MWISHO WAKE UMEFIKA WA KUGOMBANIA URAIS HAITI

Whycleaf jeans's: the Fugees perfomer ana miaka 40 amezaliwa Haiti kabla ya kuhamia US na familia yake, wakati akiwa na umri wa miaka 9, Mwezi ulopita alitanagaza nia yake ya kugombea Urais katika nchi alozaliwa yaani Haiti, Hata ivyo kutokana na sheria za  taifa la Caribbean Whyclife hajakubalika kugombania urais, kwa iyo kwa sasa ataendelea kufanya mambo yake mengine. Tunamtakia kila kheri.

No comments:

Post a Comment