The content presented here requires JavaScript to be enabled and the latest version of the Macromedia Flash Player. If you are you using a browser with JavaScript disabled please enable it now. Otherwise, please update your version of the free Flash Player by downloading here.

jojosssfashions ni wasambazaji wa perfumrs na make up kutoka Fm Perfums UK, tunauza perfums kwa order kwa iyo kama unahitaji wasiliana nasi kwa njia ya sim 0762854444 or email ili utupe order zako, kwa kuchagua perfums au make up ambayo utapenda, download catalogue kwa bonyeza link hii ujionee mambo mazuri mazuri http://www.fmgroupireland.ie/download.html

Saturday, September 4, 2010

UBUNIFU WA KUPATA MAHITAJIO YAKO KWA NJIA HALALI

Daaaah! ebwana simchezo rizki kweli mafungu saba, jana nilienda town katika pitapita zangu nikakutana na watu hawa, kama hawa wako wengi na huwa wanapenda sana kukaa town pale karibu na maduka mengi kwa kuwa wanajuwa na watu pia huwa wanakuwa wengi katika anga kama izo,kutoka katika picha za juu izo za wanawake wao kazi yao ilikuwa wanajifanya kama masanamu na walikuwa wanakikoba chao cha pesa wamekiweka chini yao sasa wewe ukiwatilia pesa wao wanaanza kujigeuza geuza kama vile mtoto wa sanamu bila kujali nani wala nani kwa kweli ata kama ukipita ukiwaona utavutiwa na kuwatizama kidogo kisha ndo utaendelea na safari zako, na jamaa wa chini yake apo yeye ndo anavunja mbavu kinoma, yeye huwa anainama hivi halafu kama anaganda lakini ukimtilia pesa tu ananyanyuka na anakimbia mbio kinoma, lazma mbavu zako uzizuie kwa kucheka, ayo yote wanayoyafanya ukiyaona utaona kama mambo ya kipumbavu lakini dahhh jamaa wanatengeza pesa sana  kutokana  ubunifu wao na mambo yao wanayofanya,
                   

No comments:

Post a Comment