The content presented here requires JavaScript to be enabled and the latest version of the Macromedia Flash Player. If you are you using a browser with JavaScript disabled please enable it now. Otherwise, please update your version of the free Flash Player by downloading here.

jojosssfashions ni wasambazaji wa perfumrs na make up kutoka Fm Perfums UK, tunauza perfums kwa order kwa iyo kama unahitaji wasiliana nasi kwa njia ya sim 0762854444 or email ili utupe order zako, kwa kuchagua perfums au make up ambayo utapenda, download catalogue kwa bonyeza link hii ujionee mambo mazuri mazuri http://www.fmgroupireland.ie/download.html

Tuesday, February 8, 2011

EGYPT HALI BADO TETE!!!!!!!!!!!!!! YATAISHA LINI ?????

Mzee anaonekana akiwa na jazba sana anataka kama vipi kieleweke!!

Kama vipi tutatoka manundu sote tu poa lakini hatuondoki mpaka aondoke yeye kwanza Mubarrak

Ustuletee izo hapa we mfuasi wa Mubarrak sie hatuli hatulali tunamtaka aondoke kisha we ndo kwanza unamtetea sio! unamtaka aendelee kututawala hem njoo tukufundishe ulimwengu kwanza, jamaa alivutwa chini na ngamia wake kisha akapokea kibano kitakatifu, Egypt kumekuwa na hali ya mchafuko sana wa kisiasa wananchi wanaandamana Tahrir square wakishindikiza kuwa hawamtaki raisi wao Mubarrak wanamtaka ajiuzulu haraka sana iwezekanavyo, kumepelea mauwaji, kuharibika kwa mali,kuyumba kiuchumi,waandishi wa habari kuuliwa na  kukamatwa, watalii wengi sana kuondoka na kurudi kwenye nchi zao, Rais Mubarrak anaiongoza Egypt kwa muda wa miaka 30 sasa, we ndugu mdau unamaoni gani kuhusiana na hili????????? tuandikie maoni yako!!!!!!

No comments:

Post a Comment