The content presented here requires JavaScript to be enabled and the latest version of the Macromedia Flash Player. If you are you using a browser with JavaScript disabled please enable it now. Otherwise, please update your version of the free Flash Player by downloading here.

jojosssfashions ni wasambazaji wa perfumrs na make up kutoka Fm Perfums UK, tunauza perfums kwa order kwa iyo kama unahitaji wasiliana nasi kwa njia ya sim 0762854444 or email ili utupe order zako, kwa kuchagua perfums au make up ambayo utapenda, download catalogue kwa bonyeza link hii ujionee mambo mazuri mazuri http://www.fmgroupireland.ie/download.html

Thursday, January 13, 2011

WASANII NA TATTOO

Wasanii na Tattoo wanaonekana kwenda jino kwa jino kama anavyoonekana Lil wayne ameuchora uso wake wote ukiambatana na mwili wake wote

si mchezo hii ni sanaa gani katika usanii? huu ni mwili au kitabu cha kuchorea? utajaza wewe apo mdau!!!!!!!!

Like father like soon!!!!!!!!! mambo na yeye ndo yaleyale yeye kachora mpaka kichwani

Gucci mane ndo kamaliza kabisa mana yeye kachora ice cream kabisaaaa!!!!!!!!!!! swala la Kizushi mdau wewe unadhani ikitoka fashion hii itakuja ipi? me naona kama kuchonga pembe kichwani!!!!!!!!!!!!!!!

1 comment:

  1. Tehetehee Jojosss hujatulia wewe,eti kuchonga pembe kichwani hahahaa....You made my day day dear,can`t stop laughing.

    ReplyDelete