The content presented here requires JavaScript to be enabled and the latest version of the Macromedia Flash Player. If you are you using a browser with JavaScript disabled please enable it now. Otherwise, please update your version of the free Flash Player by downloading here.

jojosssfashions ni wasambazaji wa perfumrs na make up kutoka Fm Perfums UK, tunauza perfums kwa order kwa iyo kama unahitaji wasiliana nasi kwa njia ya sim 0762854444 or email ili utupe order zako, kwa kuchagua perfums au make up ambayo utapenda, download catalogue kwa bonyeza link hii ujionee mambo mazuri mazuri http://www.fmgroupireland.ie/download.html

Tuesday, January 4, 2011

CHRISTINA MILIAN NA THE DREAM KATIKA HATUA YA MWISHO YA KUTALIKIANA


christina milian na the Dream wamefikia makubaliano yao  nje ya mahakama na hatua ya mwisho juu ya mambo yao ya talaka, wawili hawa walifunga ndoa September 2009 ndani ya Las Vegas na wamebahatika kupata mtoto  wa kike jina lake Violet together,The dream na christina wamehakikisha kwamba ndoa yao imefika ukingoni ilikuwa ni baada ya miezi michache tu baada ya harusi yao ni kabla siku 9 tu christina kujifungua mtoto wao, habari za wawili hawa kutengana mda mfupi tu baada ya the dream kupiga picha na kimada kingine kwenye fukwe za bahari (beach)


Muigizaji machachari Vivia A. Fox amechumbiwa na brother man mmoja ambaye Vivian ni mkubwa kwa miaka 20 duhh!! ebwana wee maisha na mapenzi kweli raha, mshkaji ni Atlanta club promoter Omar (Slim white)  ha ha ha,  you go girl!!!!

3 comments:

  1. sio hatari wala nini kama wanapenda na wafunge tu ayo mapingu yao ya ndoa ya maisha hamna ukubwa wala nini muhim mapenzi ya kweli tu,kwanza ivo vitoto vidogovidogo vinazingua ile mbaya havijatuliza akila bado lakini ukipata mtoto kama vivian kidogo anakufundisha maisha sio, na awo kina the game me naona pesa ndo zinawazuzua na watwangane tu ayo matalaka wagawane mafidia kila mmoja alale mbele, macelebrity wa bongo mpo????????? tupe na wao habari zao bana. au washkaji nyie mnasemaje?? mdau kutoka canada.

    ReplyDelete
  2. Nimepita kusalimia, kazi nuri.
    Pamoja daima.

    ReplyDelete
  3. thank u EDNA pamoja daima tutafika tu Sir God akipenda

    ReplyDelete