The content presented here requires JavaScript to be enabled and the latest version of the Macromedia Flash Player. If you are you using a browser with JavaScript disabled please enable it now. Otherwise, please update your version of the free Flash Player by downloading here.

jojosssfashions ni wasambazaji wa perfumrs na make up kutoka Fm Perfums UK, tunauza perfums kwa order kwa iyo kama unahitaji wasiliana nasi kwa njia ya sim 0762854444 or email ili utupe order zako, kwa kuchagua perfums au make up ambayo utapenda, download catalogue kwa bonyeza link hii ujionee mambo mazuri mazuri http://www.fmgroupireland.ie/download.html

Saturday, November 20, 2010

MALI MPYA ITAINGIA JANUARY KAENI MKAO WA KULA MAMBO SAFIIIIIIIIIII


Haya jamani wale wapenzi wote wanaojipenda nafsi zao na kwenda na wakati katika fashion jojosssfashions inakuletea mambo sio mchezo, mzigo uko njiani unaingia mwezi wa kwanza January mambo yote haya yanapatikana na mambo mengine tafauti kama nguo za maharusi, nguo za out, Bangles,Handbags za kufa mtu yaani bomba kinoma we acha tu, tunaviatu vingi sana ka aina tafauti na size tafauti vyote kutoka UK,na kama utahitaji chochote ambacho kimo kwenye blog hii wasiliana nasi kama hakipo bas we weka order utakipata tu,  kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia namba ya sim 0713412936 or 0762854444





















No comments:

Post a Comment