The content presented here requires JavaScript to be enabled and the latest version of the Macromedia Flash Player. If you are you using a browser with JavaScript disabled please enable it now. Otherwise, please update your version of the free Flash Player by downloading here.

jojosssfashions ni wasambazaji wa perfumrs na make up kutoka Fm Perfums UK, tunauza perfums kwa order kwa iyo kama unahitaji wasiliana nasi kwa njia ya sim 0762854444 or email ili utupe order zako, kwa kuchagua perfums au make up ambayo utapenda, download catalogue kwa bonyeza link hii ujionee mambo mazuri mazuri http://www.fmgroupireland.ie/download.html

Friday, September 10, 2010

SALA YA EID KATIKA NCHI TAFAUTI

Eid Celebrations in peshwar, Pakistan.
Eid Mubarak
Eid ikisaliwa China, picha kwa hisani ya Xinhua
Muslim in xinhua,China during Eid al fitr prayer from a chines News source.
Ni jambo la kufurahisha sana kuona watu wengi sana wamejitokeza kwenda kusali sala ya Eid leo Moscow yaani mpaka mtaa umefungwa kutokana na wingi wa watu.
Mji wa Sharjah ndani ya UAE ni mmoja kati ya miji 7 ya Emirates, ikiwemo Dubai na Abu Dhabi, UAE kwa wingi wa mapenzi ya waumini leo walijazana kwa wingi kusali sala ya Eid.

No comments:

Post a Comment