The content presented here requires JavaScript to be enabled and the latest version of the Macromedia Flash Player. If you are you using a browser with JavaScript disabled please enable it now. Otherwise, please update your version of the free Flash Player by downloading here.

jojosssfashions ni wasambazaji wa perfumrs na make up kutoka Fm Perfums UK, tunauza perfums kwa order kwa iyo kama unahitaji wasiliana nasi kwa njia ya sim 0762854444 or email ili utupe order zako, kwa kuchagua perfums au make up ambayo utapenda, download catalogue kwa bonyeza link hii ujionee mambo mazuri mazuri http://www.fmgroupireland.ie/download.html

Sunday, August 8, 2010

SAUNA YAZUA KIZAAZAA.

HELSKINI- mrussian wa upande wa kushoto picha juu apo,bwana Vladimir Ladyzhenskiy ambaye alishiriki katika mashindano ya sauna world championships amefariki jana baada ya kuungua sehem kadhaa za mwili wake katika hatua za mwisho ya washiriki wa shindano hilo kutakiwa kukaa 230 degree (110 selcius) katika sauna iyo kutokana na mvuke kuwa mkubwa sana na hapo ndipo palipolekea kwa bwana vladimir kupata majeraha na kupelekea kifo chake huku wengine wasopunguwa 40 wamelazwa hospitali., sisi tunamuombea MUNGU amuweke sehemu anayostahili, amin
Hapa watu wakijaribu kumpa msaada lakini wapi!!!!! liandikwalo kamwe haliwezi futika.



TUNAPOSHINDANA TUANGALIE NA TUNACHOKISHINDANIA!!!!! AU NYIE MNASEMAJE
LETENI MAONI YENU!!!!!!!!!

1 comment: