Tunapenda kulitambulisha libeneke jipya la Mbeya Yetu kwa wadau wote ambapo nia na malengo ni kuwaletea habari mbali mbali kutoka Jijini Mbeya, Tanzania na Duniani kwa Ujumla, ikiwa unatukio la aina lolote usisite kututumia kupitia mbeyayetu@yahoo.com . karibuni nyote kwa kuungana na libeneke ya mbeya yetu kwa kuclick link hii http://www.mbeyayetu.blogspot.com |
|
No comments:
Post a Comment