The content presented here requires JavaScript to be enabled and the latest version of the Macromedia Flash Player. If you are you using a browser with JavaScript disabled please enable it now. Otherwise, please update your version of the free Flash Player by downloading here.

jojosssfashions ni wasambazaji wa perfumrs na make up kutoka Fm Perfums UK, tunauza perfums kwa order kwa iyo kama unahitaji wasiliana nasi kwa njia ya sim 0762854444 or email ili utupe order zako, kwa kuchagua perfums au make up ambayo utapenda, download catalogue kwa bonyeza link hii ujionee mambo mazuri mazuri http://www.fmgroupireland.ie/download.html

Thursday, February 24, 2011

TEMBELEA AMAZING TANZANIA TOURS AND SAFARI'S

Nawatambulisha blog mpya inaitwa Amazing Tanzania Tours and Safari's http://www.amazingtanzaniatours.tk hapa utapata mambo yote yanayohusu utalii na vivutio mbalimbali vya Tanzania, kwa raha na mambo zaidi ingia kwenye link juu apo ujionee mwenyewe vivutio vyetu ambavyo pande nyingi za dunia wanatamani wangekuwa navyo lakini kwetu MUNGU katujaalia, na tuskose tukiwa na nafasi twende tukajionee wenyewe mali asili zetu kiingilio bei chee tusiwaachie wageni ni peke yao wafaidi na sisi tufaidini mali asili zetu, au wadau manaonaje iyo??????? tupe maoni yako.

No comments:

Post a Comment