The content presented here requires JavaScript to be enabled and the latest version of the Macromedia Flash Player. If you are you using a browser with JavaScript disabled please enable it now. Otherwise, please update your version of the free Flash Player by downloading here.

jojosssfashions ni wasambazaji wa perfumrs na make up kutoka Fm Perfums UK, tunauza perfums kwa order kwa iyo kama unahitaji wasiliana nasi kwa njia ya sim 0762854444 or email ili utupe order zako, kwa kuchagua perfums au make up ambayo utapenda, download catalogue kwa bonyeza link hii ujionee mambo mazuri mazuri http://www.fmgroupireland.ie/download.html

Tuesday, February 1, 2011

MZIGO UMEINGIA MAMBO SWAFIIIII, VIATU VYA KILA AINA, MADINI YA SHINGONI, MIKONONI, NA MAMBO KIBAO TAFAUTI KUTOKA UK

Mambo vipi wadau?? yale mambo mazuri mazuri tulokuwa tunayatangazia kuwa yako njiani yanakuja hatma yake yamefika, kuna Viatu babkubwa vya kila aina vya kukutoa bomba ukiwa kazini yaani vya makazini, kuna vya maharusini, vya kuvaa kwenye sherehe mbalimbali yaani wewe mwenyewe tu uamue cha wapi unataka, kuna madini tafauti ya shingoni,mikononi ushindwe wewe, kuna magauni ya aina mbalimbali, kuna perfurms, body wash za kumwaga, kwa picha na mambo mazuri zaidi yatafata baadae.

No comments:

Post a Comment