![]() |
Eid Celebrations in peshwar, Pakistan. |
![]() |
Eid Mubarak |
![]() |
Eid ikisaliwa China, picha kwa hisani ya Xinhua |
![]() |
Muslim in xinhua,China during Eid al fitr prayer from a chines News source. |
![]() |
Ni jambo la kufurahisha sana kuona watu wengi sana wamejitokeza kwenda kusali sala ya Eid leo Moscow yaani mpaka mtaa umefungwa kutokana na wingi wa watu. |
![]() |
Mji wa Sharjah ndani ya UAE ni mmoja kati ya miji 7 ya Emirates, ikiwemo Dubai na Abu Dhabi, UAE kwa wingi wa mapenzi ya waumini leo walijazana kwa wingi kusali sala ya Eid. |
No comments:
Post a Comment