HELSKINI- mrussian wa upande wa kushoto picha juu apo,bwana Vladimir Ladyzhenskiy ambaye alishiriki katika mashindano ya sauna world championships amefariki jana baada ya kuungua sehem kadhaa za mwili wake katika hatua za mwisho ya washiriki wa shindano hilo kutakiwa kukaa 230 degree (110 selcius) katika sauna iyo kutokana na mvuke kuwa mkubwa sana na hapo ndipo palipolekea kwa bwana vladimir kupata majeraha na kupelekea kifo chake huku wengine wasopunguwa 40 wamelazwa hospitali., sisi tunamuombea MUNGU amuweke sehemu anayostahili, amin
Hapa watu wakijaribu kumpa msaada lakini wapi!!!!! liandikwalo kamwe haliwezi futika.LETENI MAONI YENU!!!!!!!!!



me namtakia kila la kheri.
ReplyDelete